sw_tn/2jn/01/07.md

40 lines
841 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Yohana anawaonya kuhusu wazushi, na kuwakumbusha kubaki katika mafundisho ya Kristo na kujiepusha na waasi
# Kwa kuwa wadanganyifu wengi wamesambaa katika ulimwengu.
"Walimu wengi wa uongo wamekwisha liacha kusanyiko" au " wadanganyifu wengi wapo ulimwenguni"
# wadanganyifu wengi.
"walimu wengi wa uongo" au "wazushi"
# katika ulimwengu
Hapa inaelezea kila mtu aliyeko hai katika ulimwengu huu.
# Yesu Kristo alikuja katika mwili.
"Yesu alikuja katika hali ya mwili wa kibinadamu."
# Huyu ndiye mdanganyifu na mpinga Kristo
" Ni wale wanaowadanganya wengine na kumpinga Kristo mwenyewe"
# mpinga Kristo.
" kinyume na Kristo"
# Jiangalieni wenyewe.
"Iweni macho" au " iweni waangalifu."
# hampotezi mambo
"kutopoteza tuzo zenu za wakati ujao kule mbinguni."
# tuzo kamili
"tuzokamili kule mbinguni"