Sura hii inaanza na neno "kwa hiyo." Neno hili linaunganisha na neno lililofundishwa katika sura ya awali. Jinsi sura hizi zinagawanyika inaweza kumchanganya msomaji.
Paulo anawahudumia watu kwa kuwaambia kuhusu Kristo. Yeye hajaribu kuwadanganya watu kuamini. Ikiwa hawaelewi injili, ni kwa sababu tatizo ni la kiroho. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/spirit]])
Biblia mara nyingi inazungumza juu ya watu wasio na haki, watu ambao hawana fadhili za Mungu, kama wanaozunguka gizani. Inazungumzia mwanga ni kama inawawezesha watu wenye dhambi kuwa waadilifu, kuelewa kile wanachokosea na kuanza kumtii Mungu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/righteous]])
Paulo hataji hapa maisha ya kimwili na kifo ya kimwili. Maisha inawakilisha maisha mapya Mkristo aliyo nayo katika Yesu. Kifo kinawakilisha njia ya zamani ya kuishi kabla ya kumwamini Yesu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/life]] and [[rc://*/tw/dict/bible/other/death]] and [[rc://*/tw/dict/bible/kt/faith]])
Paulo anarudia katika mawazo kwa namuna ya kimakusudi. Anatoa taarifa. Kisha anatoa maneno yanayoonekana kuwa kukataa au kupinga au kutoa utofauti. Haya yote pamoja yanampa msomaji tumaini katika hali ngumu. (See: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/hope]])