sw_tn/2co/01/19.md

16 lines
703 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kwa maana Mwana wa Mungu... siyo "Ndiyo" na "Hapana." Badala yake yeye ni "Ndiyo" daima."
Yesu husema "Ndiyo" daima kuhusiana na ahadi za Mungu, ambazo zinamaanisha kwamba anathibitisha kwamba wako sahihi . Kwa kuwa Mwana wa Mungu ...hasemi " Ndiyo" na " Hapana "kuhusina na ahadi za Mungu. Badala yake husema "Ndiyo" daima
# Mwana wa Mungu
Hiki ni cheo muhimu cha Yesu ambacho kinaelezea uhusano kwa Mungu
# ahadi zote za Mungu ni "ndiyo" katika yeye
Hii ni kumaanisha kwamba Yesu anahakikisha anatimiza yote yale ambayo Mungu ameahidi katika Kristo Yesu. "Ahadi zote za Mungu zinathibitishwa katika Yesu Kristo"
# "Ndiyo" katika yeye...kupitia yeye
Neno "yeye" linarejea kwa Yesu Kristo.