# Kwa maana Mwana wa Mungu... siyo "Ndiyo" na "Hapana." Badala yake yeye ni "Ndiyo" daima." Yesu husema "Ndiyo" daima kuhusiana na ahadi za Mungu, ambazo zinamaanisha kwamba anathibitisha kwamba wako sahihi . Kwa kuwa Mwana wa Mungu ...hasemi " Ndiyo" na " Hapana "kuhusina na ahadi za Mungu. Badala yake husema "Ndiyo" daima # Mwana wa Mungu Hiki ni cheo muhimu cha Yesu ambacho kinaelezea uhusano kwa Mungu # ahadi zote za Mungu ni "ndiyo" katika yeye Hii ni kumaanisha kwamba Yesu anahakikisha anatimiza yote yale ambayo Mungu ameahidi katika Kristo Yesu. "Ahadi zote za Mungu zinathibitishwa katika Yesu Kristo" # "Ndiyo" katika yeye...kupitia yeye Neno "yeye" linarejea kwa Yesu Kristo.