sw_tn/1ti/05/03.md

20 lines
397 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Waheshimu wajane
"Waheshimu na kuwahudumia wajane"
# wajane kwelikweli
"wajane wasio na mtu wa kuwahudumia"
# waache kwanza wajifunze
"awali ya yote wanahitaji kujifunza"
# katika nyumba zao wenyewe
kwenye familia zao wenyewe au kwa wale wanaoishi kwenye nyumba zao
# waache wawalipe wazazi wao
"Waache wawatendee mema wazazi wao kwa sababu ya mambo mazuri ambayo wazazi wao wamewapa."