# Waheshimu wajane "Waheshimu na kuwahudumia wajane" # wajane kwelikweli "wajane wasio na mtu wa kuwahudumia" # waache kwanza wajifunze "awali ya yote wanahitaji kujifunza" # katika nyumba zao wenyewe kwenye familia zao wenyewe au kwa wale wanaoishi kwenye nyumba zao # waache wawalipe wazazi wao "Waache wawatendee mema wazazi wao kwa sababu ya mambo mazuri ambayo wazazi wao wamewapa."