sw_tn/1ti/03/04.md

20 lines
592 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kwa heshima yote
Maana zinazowezekana ni 1) watoto wa kiongozi waheshimu baba na watu wengine au 2) watoto wa mwangalizi wanapaswa kuwaheshimu watu wote.
# Kuongoza nyumba yake
Kuitunza familia yake"au "kulinda watu wanaoishi nyumbani mwake"
# Kwa heshima zote
Yote inaweza husika watu wote au katika muda wote au katika shida zozote
# Ikiwa mtu hafahamu namna
Kwa sababu ikiwa mtu hafahamu namna ya "au" kwa wakati mtu hawezi "au" lakini kukisia mtu hawezi"
# Atawezaje kulitunza kanisa la Mungu
"Hawezi kulitunza kanisa laMungu" au"hatakuwa tayari kuliongoza kanisa la Mungu."