# kwa heshima yote Maana zinazowezekana ni 1) watoto wa kiongozi waheshimu baba na watu wengine au 2) watoto wa mwangalizi wanapaswa kuwaheshimu watu wote. # Kuongoza nyumba yake Kuitunza familia yake"au "kulinda watu wanaoishi nyumbani mwake" # Kwa heshima zote Yote inaweza husika watu wote au katika muda wote au katika shida zozote # Ikiwa mtu hafahamu namna Kwa sababu ikiwa mtu hafahamu namna ya "au" kwa wakati mtu hawezi "au" lakini kukisia mtu hawezi" # Atawezaje kulitunza kanisa la Mungu "Hawezi kulitunza kanisa laMungu" au"hatakuwa tayari kuliongoza kanisa la Mungu."