forked from WA-Catalog/sw_tn
36 lines
753 B
Markdown
36 lines
753 B
Markdown
|
# Mjumbe mmoja kati ya Mungu na mtu
|
||
|
|
||
|
Mjumbe ni mtu anayesaidia kujadili ujumbe wa amani kati ya watu wawili ambao hawaelewani. hapa Yesu anawasaidia wenye dhambikuingia kwenye mahusiano ya Amani na Mungu.
|
||
|
|
||
|
# akajitoa mwenyewe
|
||
|
|
||
|
"kufa kwa hiari
|
||
|
|
||
|
# Kama fidia
|
||
|
|
||
|
"Kama bei ya uhuru" au "kama malipo ya kupata uhuru"
|
||
|
|
||
|
# ushuhuda wa wakati mtimilifu
|
||
|
|
||
|
"Ushuhuda wake ni kwawakati mtimilifu" au "Ushuhuda wa wakati huu"
|
||
|
|
||
|
# kwa kusudi hili
|
||
|
|
||
|
"Kwa hii" au "kwa sababu hii" au kwa ushuhuda huu"
|
||
|
|
||
|
# nimefanywa kuwa mhubiri
|
||
|
|
||
|
"Nimechaguliwa kuwa mhubiri" au "nimechaguliwa na Kristo kuwa mhubiri"
|
||
|
|
||
|
# Natamka ukweli
|
||
|
|
||
|
"Nazungumza ukweli" au "nakuambia ukweli"
|
||
|
|
||
|
# Sisemi uongo
|
||
|
|
||
|
"Sidanganyi"
|
||
|
|
||
|
# Katika Imani na kweli
|
||
|
|
||
|
"Kuhusu imani na kweli" au "Pamoja na imani na kweli"
|