sw_tn/1ti/01/12.md

40 lines
1001 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Kauli Unganishi:
Paulo anazungumza jinsi alivyotenda zamani na anamtia moyo Timotheo kumtumaini Mungu.
# Nashukuru
"Ninashukuru" au "mimi nashukuru kwa"
# yeye aliniona mimi mwaminifu
"yeye alinitazama mimi mwaminifu" au "alifikiria kuwa ninafaa"
# na akaniweka katika huduma
"na kuniweka katika nafasi ya kutumika" au "hivyo aliniteua katika huduma"
# mimi, mtukana Mungu wa zamani
"mimi, ambaye alisema maovu kinyume na Kristo" au "mimi, ambaye nilikuwa mtukana Mungu hapo zamani"
# mtu wa vurugu
"mtu ambaye anaumiza wengine." Huyu ni mtu anayeamini anayo haki kuumiza wengine.
# Lakini nilipokea neema kwa sababu nilitenda kwa ujinga katika kutoamini
NI: "Lakini kwa sababu sikuamini katika Yesu, na nilikuwa sijui nilichokuwa nikifanya, nilipokea neema kutoka kwa Yesu"
# Nilipokea neema
NI: "Yesu alinionesha neema" au "Yesu kashatoa neema kwangu"
# Lakini neema
"Na neema"
# ilibubujika kwa imani na upendo
"ilikuwa kwa wingi sana" au "ilikuwa zaidi kuliko ile ya kawaida"