sw_tn/1th/04/09.md

36 lines
591 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Upendo wa ndugu
"upendo kwa waamini wenzako"
# Mlifanya yote kwa ndugu walioko Makedonia yote.
"mlionesha upendo kwa waamini wa Makedonia"
# Ndugu
Hapa "ndugu" inamaanisha Mkristo mwenzako
# Mtamani
"Kujiingiza" au "kujitahidi kwa bidii"
# Fanya shughuli zako
Hii inamaanisha usiingilie mambo ya watu wengine.
# Fanya kazi kwa mikono yako
"mfanye kazi zenu wenyewe ili mpate kile mnachookiitaji"
# Tembea kwa usahihi
"Ishi kwa heshima na tabia njema"
# Wale walioko nje ya imani
"wale ambao sio waamini wa Kristo"
# Usihitaji kitu chochote
"Usipungukiwe na hitaji lolote"