# Upendo wa ndugu "upendo kwa waamini wenzako" # Mlifanya yote kwa ndugu walioko Makedonia yote. "mlionesha upendo kwa waamini wa Makedonia" # Ndugu Hapa "ndugu" inamaanisha Mkristo mwenzako # Mtamani "Kujiingiza" au "kujitahidi kwa bidii" # Fanya shughuli zako Hii inamaanisha usiingilie mambo ya watu wengine. # Fanya kazi kwa mikono yako "mfanye kazi zenu wenyewe ili mpate kile mnachookiitaji" # Tembea kwa usahihi "Ishi kwa heshima na tabia njema" # Wale walioko nje ya imani "wale ambao sio waamini wa Kristo" # Usihitaji kitu chochote "Usipungukiwe na hitaji lolote"