sw_tn/1th/03/06.md

28 lines
556 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# sentensi unganishi
Paulo anawambia wasomaji kuhusu taarifa ya Timotheo baada ya kutoka kuwasalimu
# Alikuja kwetu
Neno " kwetu" linawaelezea Paulo na Silivanus lakini sio waumini wa thesalonike.
# Habari njema ya Imani yako
" Taarifa nzuri juu ya Imani yako"
# Mmekuwa na kumbukumbu nzuri
"Mmekuwa na kumbukumbu nzuri mara kwa mara"
# Mnatamani kutuona sisi
"Mnashauku ya kutuona sisi"
# Ndugu
" kwa hapa " ndugu inamaanisha wakristo wenzao.
# Kupitia Imani yenu.
"kupitia imani yenu katika kristo" au "kupitia maendeleo yenu katika kristo"