# sentensi unganishi Paulo anawambia wasomaji kuhusu taarifa ya Timotheo baada ya kutoka kuwasalimu # Alikuja kwetu Neno " kwetu" linawaelezea Paulo na Silivanus lakini sio waumini wa thesalonike. # Habari njema ya Imani yako " Taarifa nzuri juu ya Imani yako" # Mmekuwa na kumbukumbu nzuri "Mmekuwa na kumbukumbu nzuri mara kwa mara" # Mnatamani kutuona sisi "Mnashauku ya kutuona sisi" # Ndugu " kwa hapa " ndugu inamaanisha wakristo wenzao. # Kupitia Imani yenu. "kupitia imani yenu katika kristo" au "kupitia maendeleo yenu katika kristo"