sw_tn/1th/03/04.md

24 lines
338 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ukweli dhabiti.
"bila shaka" au " uhakika"
# Tulikuwa na wewe
Neno "sisi" linawaelezea Paulo, Silivanus naTimotheo lakini sio waumini wa thesalonike.
# Kupata mateso.
"kutendewa mabaya na wengine"
# Sikuweza kuvumilia.
Kwa hapa " mimi" inamuelezea Paulo: nilitaka kujua.
# Nilimtuma.
"Nilimtuma Timotheo"
# Bure.
" Isiyofaa"