sw_tn/1pe/05/08.md

16 lines
276 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kama simba angurumaye
Petro anafananisha shetani na simba ili kusisitiza kwamba shetani ni mkatili na mkali.
# akizunguka karibu
"kutembea karibu" au "kutembea karibu na kuwinda"
# Simama dhidi yake
"Mshinde"
# Katika ulimwengu
"katika maeneo mbalimbali ulimwenguni"