# kama simba angurumaye Petro anafananisha shetani na simba ili kusisitiza kwamba shetani ni mkatili na mkali. # akizunguka karibu "kutembea karibu" au "kutembea karibu na kuwinda" # Simama dhidi yake "Mshinde" # Katika ulimwengu "katika maeneo mbalimbali ulimwenguni"