sw_tn/1pe/01/11.md

20 lines
453 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Walitaka kujua
"Walijaribu kujua" au "Waliuliza kuhusu"
# Wao
Neno "wao" linamaanisha manabii.
# Ilifunuliwa kwa manabii
"Mungu alifunua unabii wa Kristo kwa manabii"
# walikuwa wakitumikia mambo haya, si kwao wenyewe, bali kwa ajili yenu
Kwa lugha zingine ni kawaida zaidi kuweka chanya kabla ya hasi. AT "walikuwa wakutumikia mambo haya kwa ajili yenu, sio wenyewe."
# kutumikia mambo haya
Walikuwa wanatafuta kuelewa unabii kuhusu Kristo.