# Walitaka kujua "Walijaribu kujua" au "Waliuliza kuhusu" # Wao Neno "wao" linamaanisha manabii. # Ilifunuliwa kwa manabii "Mungu alifunua unabii wa Kristo kwa manabii" # walikuwa wakitumikia mambo haya, si kwao wenyewe, bali kwa ajili yenu Kwa lugha zingine ni kawaida zaidi kuweka chanya kabla ya hasi. AT "walikuwa wakutumikia mambo haya kwa ajili yenu, sio wenyewe." # kutumikia mambo haya Walikuwa wanatafuta kuelewa unabii kuhusu Kristo.