sw_tn/1ki/22/10.md

16 lines
403 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akajitengenezea pembe
akatengeneza pembe kwa ajili yake
# Kwa hili utawsukuma Washami mpaka watakapoisha
Anachokisema nabii ni kwamba jeshi la Ahabu litashinda kwa nguvu nyingi kama vilr fahari anavyomshambulia mnyama mwingine. "watatakapoisha" ni usemi unaomaanisha kuwa "kuangamiza"
# mpaka watakapoisha
"mpaka uwaangamiza"akapo
# ameiweka kwenye mkono wa mfalme
"amemruhusu mfalme kuivamia"