# akajitengenezea pembe akatengeneza pembe kwa ajili yake # Kwa hili utawsukuma Washami mpaka watakapoisha Anachokisema nabii ni kwamba jeshi la Ahabu litashinda kwa nguvu nyingi kama vilr fahari anavyomshambulia mnyama mwingine. "watatakapoisha" ni usemi unaomaanisha kuwa "kuangamiza" # mpaka watakapoisha "mpaka uwaangamiza"akapo # ameiweka kwenye mkono wa mfalme "amemruhusu mfalme kuivamia"