sw_tn/1ki/19/17.md

20 lines
372 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Itakuwa hivi
"Kitakachotokea ni"
# atakayejaribu kutoroka upanga wa Hazaeli
"ambaye Hazaeli hatamwua kwa upanga"
# ntawaacha kwa ajili yangu
Neno "ni" linamaanishsa BWANA. "Nitawaokoa kutoka kwenye kifo"
# watu elfu saba
"watu 7000"
# ambao magoti yao hayajawahi kupigwa kwa Baali, na ambao midomo yao haijambusu."
"Ambao hawajawahi kumwabudu na kumbusu Baali"