# Itakuwa hivi "Kitakachotokea ni" # atakayejaribu kutoroka upanga wa Hazaeli "ambaye Hazaeli hatamwua kwa upanga" # ntawaacha kwa ajili yangu Neno "ni" linamaanishsa BWANA. "Nitawaokoa kutoka kwenye kifo" # watu elfu saba "watu 7000" # ambao magoti yao hayajawahi kupigwa kwa Baali, na ambao midomo yao haijambusu." "Ambao hawajawahi kumwabudu na kumbusu Baali"