sw_tn/1ki/18/25.md

20 lines
311 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kumwandaa
"mfanyeni tayari kwa sadaka"
# ninyi ni wengi
Neno "ninyi" ni la wingi.
# Nao wakamchukua yule nfahari
"manabii wa baali wakamchukua yule fahari"
# waliyekuwa wamepewa
yule fahari ambaye mtu aliwapa
# Lakini hapakuwepo na sauti, wala aliyejibu
"Lakini Baali hakusema wala kufanya chochote"