# kumwandaa "mfanyeni tayari kwa sadaka" # ninyi ni wengi Neno "ninyi" ni la wingi. # Nao wakamchukua yule nfahari "manabii wa baali wakamchukua yule fahari" # waliyekuwa wamepewa yule fahari ambaye mtu aliwapa # Lakini hapakuwepo na sauti, wala aliyejibu "Lakini Baali hakusema wala kufanya chochote"