sw_tn/1ki/18/09.md

24 lines
553 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Nimekoseaje ... ili aniue?
"Sijakukosea wewe ... kwa yeye kuniua,"
# umtoe mtumishi wako katika mkono wa Ahabu
"umtoe mtumishi wako kwa Ahabu"
# mtumishi
Obadia anjiona mwenyewe kuwa ni mtumishi wa Eliya ili kumheshimu Eliya
# Kama BWANA Mungu wako aishivyo
Hiki ni kiapo ambacho kilitumika kuonyesha kuwa kile anachosema ni cha kweli.
# hakuna taifa wala ufalme ... ambapo bwana wangu hajatuma watu
"bwana wangu ametuma watu kila mahali"
# Na sasa wewe
Neno hili limetumika kuonyesha hatari ya kile ambacho Eliya anamwambia Eliya kufanya.