# Nimekoseaje ... ili aniue? "Sijakukosea wewe ... kwa yeye kuniua," # umtoe mtumishi wako katika mkono wa Ahabu "umtoe mtumishi wako kwa Ahabu" # mtumishi Obadia anjiona mwenyewe kuwa ni mtumishi wa Eliya ili kumheshimu Eliya # Kama BWANA Mungu wako aishivyo Hiki ni kiapo ambacho kilitumika kuonyesha kuwa kile anachosema ni cha kweli. # hakuna taifa wala ufalme ... ambapo bwana wangu hajatuma watu "bwana wangu ametuma watu kila mahali" # Na sasa wewe Neno hili limetumika kuonyesha hatari ya kile ambacho Eliya anamwambia Eliya kufanya.