sw_tn/1ki/15/29.md

12 lines
289 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Baasha aliwaua watu wote wa familia ya Yeroboamu. Hakumwaacha hata mmoja wa uzao wa Yeroboamu awe hai
Sentensi hizi mbili zinamaanisha jambo moja vimetumika kwa ajili ya kutia msisitizo.
# ukoo wake wote
Neno "wake" linamaanisha Yeroboamu
# Ahiyo Mshilo
Ahiya alikuwa anatoka Shilo