# Baasha aliwaua watu wote wa familia ya Yeroboamu. Hakumwaacha hata mmoja wa uzao wa Yeroboamu awe hai Sentensi hizi mbili zinamaanisha jambo moja vimetumika kwa ajili ya kutia msisitizo. # ukoo wake wote Neno "wake" linamaanisha Yeroboamu # Ahiyo Mshilo Ahiya alikuwa anatoka Shilo