sw_tn/1ki/13/01.md

24 lines
590 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# mtu wa Mungu
Hili jina lingine la nabii. "Nabii"
# Alia kinyumem na zile madhabahu
"Alitoa unabii kwa sauti kubwa kinyume na zile madhdabahu"
# Ee madhabau, madhabau
Nabii iliziambia zile madhabahu kama vile anamwambia mtu anyeweza kumsikia. Alisema mara mbili ili kusisitiza.
# mwana aitwaye Yosia atazaliwa katikafamilia ya Daudi
"mwana wa uzao wa Daudi atakuwa na mwana aitwaye Yosia"
# watachoma
Neno "wa" linamaanisha Yosia na watu atakaokuwa nao.
# madhabahu zitavunjika, na majivu ylyo juu yatamwagika
"BWANA atazivunja madhabahu na atayasambaza majivu yaliyo juu yake"