# mtu wa Mungu Hili jina lingine la nabii. "Nabii" # Alia kinyumem na zile madhabahu "Alitoa unabii kwa sauti kubwa kinyume na zile madhdabahu" # Ee madhabau, madhabau Nabii iliziambia zile madhabahu kama vile anamwambia mtu anyeweza kumsikia. Alisema mara mbili ili kusisitiza. # mwana aitwaye Yosia atazaliwa katikafamilia ya Daudi "mwana wa uzao wa Daudi atakuwa na mwana aitwaye Yosia" # watachoma Neno "wa" linamaanisha Yosia na watu atakaokuwa nao. # madhabahu zitavunjika, na majivu ylyo juu yatamwagika "BWANA atazivunja madhabahu na atayasambaza majivu yaliyo juu yake"