sw_tn/1ki/07/36.md

16 lines
400 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# nayo ilikuwa imezungukwa
Neno "nayo" linamaanisha Makerubi, simba, n a miti ya mitende.
# ilikuwa imezungukwa na masongo
Neno "masongo" linamaanisha sura za kusukwa za vipande vya masongo.
# Yote yalikuwa yametengenezwa kwa kufanana
"Huramu alitenegeneza makalio yote katika mfumo uleule"
# na yalikuwa na vipimo sawa, na sura inayofanana
"makalio yote yalikuwa na vipimo sawa na sura sawa"