# nayo ilikuwa imezungukwa Neno "nayo" linamaanisha Makerubi, simba, n a miti ya mitende. # ilikuwa imezungukwa na masongo Neno "masongo" linamaanisha sura za kusukwa za vipande vya masongo. # Yote yalikuwa yametengenezwa kwa kufanana "Huramu alitenegeneza makalio yote katika mfumo uleule" # na yalikuwa na vipimo sawa, na sura inayofanana "makalio yote yalikuwa na vipimo sawa na sura sawa"