sw_tn/1ki/07/23.md

24 lines
514 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# bahari ya kusubu
Hi inamaanisha kalai la shaba ambalo liliweza kubeba maji.
# vyuma vya kusubu
Huramu aliyeyusha shaba na kuvitengeneza
# mita 2.3 kutoka ukingo hadi ukingo
kutoka ukingo mmoja hadi mwingine
# mzingo wake ulikuwa mita 13.7
"mzingo" ni kipimo cha urefu wa mzunguko wa kitu cha dauara.
# na vibuyu vilivyoizunguka
Kibuyu ni aina ya mboga yenye ganda gumu na lenye duara ambalo huoteshwa kwenye shamba la mizabibu.
# wakati bahari inapokuwa kalibu
"wakati Huramu alipoitengeneza bahari"