# bahari ya kusubu Hi inamaanisha kalai la shaba ambalo liliweza kubeba maji. # vyuma vya kusubu Huramu aliyeyusha shaba na kuvitengeneza # mita 2.3 kutoka ukingo hadi ukingo kutoka ukingo mmoja hadi mwingine # mzingo wake ulikuwa mita 13.7 "mzingo" ni kipimo cha urefu wa mzunguko wa kitu cha dauara. # na vibuyu vilivyoizunguka Kibuyu ni aina ya mboga yenye ganda gumu na lenye duara ambalo huoteshwa kwenye shamba la mizabibu. # wakati bahari inapokuwa kalibu "wakati Huramu alipoitengeneza bahari"