sw_tn/1ki/02/45.md

12 lines
285 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Mfalme Sulemani anatoamari ya kumwua Shimei
# na enzi ya Daudi itaimrika mbele ya BWANA milele
Neno "enzi ya Daudi" linamaanisha mamlaka na utawala wa Daudi na uzao wake wote milele.
# Kwa mkono wa Sulemani
matumizi ya "mkono" unawakilisha nguvu ya Sulemani