# Taarifa kwa ujumla Mfalme Sulemani anatoamari ya kumwua Shimei # na enzi ya Daudi itaimrika mbele ya BWANA milele Neno "enzi ya Daudi" linamaanisha mamlaka na utawala wa Daudi na uzao wake wote milele. # Kwa mkono wa Sulemani matumizi ya "mkono" unawakilisha nguvu ya Sulemani