sw_tn/1ki/01/20.md

24 lines
473 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa kwa ujumla
Bathisheba anaendelea kuongea na Daudi
# macho yote ya Israeli yako kwako
Neno "macho" liinamaanisha watu. "watu wote wa Israeli wanakutazama wewe"
# atakayeketi kwenye kiti cha enzi
Tazama 1:13
# wakati bwana wangu atakapolala na baba zake
"utakapolala na baba zako"
# atakapolala na baba zake
Hii ni tafsida ya neno "kufa"
# Mimi na mwanangu Sulemani kuhesabiwa wahaini
"Mfalme mpya atatuhesabu mimi na mwanangu Sulemani kuwa ni wahaini"