# Taarifa kwa ujumla Bathisheba anaendelea kuongea na Daudi # macho yote ya Israeli yako kwako Neno "macho" liinamaanisha watu. "watu wote wa Israeli wanakutazama wewe" # atakayeketi kwenye kiti cha enzi Tazama 1:13 # wakati bwana wangu atakapolala na baba zake "utakapolala na baba zako" # atakapolala na baba zake Hii ni tafsida ya neno "kufa" # Mimi na mwanangu Sulemani kuhesabiwa wahaini "Mfalme mpya atatuhesabu mimi na mwanangu Sulemani kuwa ni wahaini"