sw_tn/1ki/01/05.md

28 lines
746 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Adoniya mwana wa Hagithi
Hagithi alikuwa mke wa Daudi
# alijiinua
"alianza kujivuna"
# wapanda farasi
Watu wanaoendesha magari yanayovutwa na Farasi
# magari na wapanda farasi hamsini ili wapige mbio mbele yake
Hawa watu walienda walitangulia mbele ya magari ili kuwaandalia njia na kuwalinda
# alikuwa hajawahi mumsumbua, kwa kusema
"Alikuwa hajawahi kumsumbua. Alikuwa hajawahi hata kumwuliza" au "alikuwa hajawahi hata kutaka kumfanya awe na hasira, kwa hiyo hakuwahi hata kumwuliza"
# Kwa nini umefanya hili na lile?
"Unapaswa kutambua kuwa kile ulichokifanya hakiko sawa."
# aliyezaliwa baada ya Absalomu
Daudi alikuwa mzazi wa wote Absalomu na Adoniya, lakini walikuwa na mama zao tofauti. Absalomu alizaliwa, kisha Adoniya.