# Adoniya mwana wa Hagithi Hagithi alikuwa mke wa Daudi # alijiinua "alianza kujivuna" # wapanda farasi Watu wanaoendesha magari yanayovutwa na Farasi # magari na wapanda farasi hamsini ili wapige mbio mbele yake Hawa watu walienda walitangulia mbele ya magari ili kuwaandalia njia na kuwalinda # alikuwa hajawahi mumsumbua, kwa kusema "Alikuwa hajawahi kumsumbua. Alikuwa hajawahi hata kumwuliza" au "alikuwa hajawahi hata kutaka kumfanya awe na hasira, kwa hiyo hakuwahi hata kumwuliza" # Kwa nini umefanya hili na lile? "Unapaswa kutambua kuwa kile ulichokifanya hakiko sawa." # aliyezaliwa baada ya Absalomu Daudi alikuwa mzazi wa wote Absalomu na Adoniya, lakini walikuwa na mama zao tofauti. Absalomu alizaliwa, kisha Adoniya.