sw_tn/1jn/04/07.md

32 lines
956 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
Yohana anaendelea kufundisha kuhusu asili mpya. Anawafundisha wasomaji wake juu ya pendo lamungu na kupendana wao kwa wao
# Wapendwa
"Nyinyi watu ambao ninawapenda" au "Rafiki wapendwa" Tazama lilifasiriwa katika 2:7
# tupendane sisi kwa si
"waaminio ni lazima wapendane wao kwa wao"
# na kila mmoja apendaye amezaliwa na Mungu na kumjua Mungu.
"kwa sababu wale wanaowapenda waamini wenzao wamefanyika watoto wa Mungu na humjua yeye"
# kwa sababu pendo latoka kwa Mungu.
"kwa sababu Mungu hutusababisha kupendana sisi kwa sisi"
# amezaliwa na Mungu
Hii ni methali au fumbo ambalo humaanisha mtu mtu fulani kuwa na uhusiano na Mungu kama mtoto kwa babaye.
# Yeye asiyependa hamjui Mungu, kwa sababu Mungu ni upendo.
"Asili ya Mungu ni kupena watu. Wale wasiowapenda waamini wenzao hawamjui Mungu kwa sababu tabia ya Mungu ni kupenda watu.
# Mungu ni upendo
Hii ni mithali au fumbo linalomaanisha "tabia ya Mungu ni upendo"