sw_tn/1jn/02/22.md

24 lines
493 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Nani ni mwongo bali ni yeye anayepinga kwamba Yesu ni Kristo? Huyu mtu ni mpinga kristo
Nani ni mwongo? ni yeyote akanaye ukweli kwamba Yesu ni Kristo." Yohana alitumia swali kusisitiza waongo ni nani.
# anayemkana Baba na Mwana.
"hukataa kusema kweli kuhusu Baba na Mwana" au "humkataa Baba na Mwana."
# Baba... Mwana
Hivi ni vyeo muhimu ambavyo huelezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu.
# ana Baba
"ni wa Baba"
# amkiriye Mwana
Husema kweli kuhusu Mwana"
# ana Baba
"ni wa Baba"