forked from WA-Catalog/sw_tn
16 lines
672 B
Markdown
16 lines
672 B
Markdown
|
# Maelezo ya Jumla
|
||
|
|
||
|
Hapa neno " ata-kapo" ni rejea kwa Kristo.
|
||
|
|
||
|
# atakapo komesha utawala wote na mamlaka yote na nguvu
|
||
|
|
||
|
" atawakomesha watu ambao wanatawala, wenye mamlaka, na wenye nguvu ya kufanya yote wanayofanya"
|
||
|
|
||
|
# mpaka atakapoweka maadui zake wote chini ya miguu yake
|
||
|
|
||
|
Wafalme walioshinda vita waliweza kuweka miguu yao juu ya shingo za adui zao waliowashinda. Kwa maneno mengine hapa inasema "mpaka Mungu atakapo waharibu kabisa maadui wa Kristo."
|
||
|
|
||
|
# Adui wa mwisho kuharibiwa ni kifo
|
||
|
|
||
|
Paulo anaeleza juu ya kifo kana kwamba anaeleza habari za mtu ambaye Mungu atamuua. Kwa maneno mengine ni kusema "Adui wa mwisho ambaye ataharibiwa na Mungu ni kifo chenyewe"
|