sw_tn/1co/12/07.md

24 lines
560 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# kila mmoja hupewa
Hapa ikielezwa kwa muundo tendaji:- Mungu ndiye anayefanya tendo la upaji au utoaji. kwa maneno mengine "Mungu humpa kila mmoja "
# mtu mmoja amepewa na Roho neno
ikielezwa kwa muundo tendaji:- "Kwa njia ya Roho Mungu humpatia kila mmoja neno"
# kwa Roho
Mungu hutoa karama kupitia kazi ya Roho
# hekima...maarifa
Tofauti kati ya haya maneno mawili siyo muhimu, cha muhimu ni kwamba maarifa na hekima hutoka kwaMungu kwa njia ya Roho yule yule.
# neno la hekima
" maneno ya busara"
# neno la maarifa
" Maneno yanayoonesha ujuzi"