sw_tn/1co/07/20.md

24 lines
579 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Maelezo ya Jumla
mli..msi.. ni maneneo kuonyesha wingi, yanahusu wakristo wote.
# katika wito
Hapa "wito"inaonyesha kwa kazi au nafasi ya jamii katika sehemu uliyokuwa unajihusisha. "ishi na fanya kazi kama ulivyofanya."
# Ulikuwa mtumwa ulipoitwa na Mungu?
"Kwa wale amabao walikuwa watumwa walipoitwa na Mungu kuamini."
# Mtu huru wa Bwana
Hii mtu huru ni mmesamehewa na Mungu and kwa hiyouhuru kutoka kwa Shetani na dhambi.
# Mmeshanunuliwa kwa thamani
"Kristo amewanunuakwa kufa kwa ajili yenu"
# Tulipoitwa kuamini
"Wakati Mungu alipotuita kuamini katika yeye"