# Maelezo ya Jumla mli..msi.. ni maneneo kuonyesha wingi, yanahusu wakristo wote. # katika wito Hapa "wito"inaonyesha kwa kazi au nafasi ya jamii katika sehemu uliyokuwa unajihusisha. "ishi na fanya kazi kama ulivyofanya." # Ulikuwa mtumwa ulipoitwa na Mungu? "Kwa wale amabao walikuwa watumwa walipoitwa na Mungu kuamini." # Mtu huru wa Bwana Hii mtu huru ni mmesamehewa na Mungu and kwa hiyouhuru kutoka kwa Shetani na dhambi. # Mmeshanunuliwa kwa thamani "Kristo amewanunuakwa kufa kwa ajili yenu" # Tulipoitwa kuamini "Wakati Mungu alipotuita kuamini katika yeye"