sw_tn/1co/07/05.md

32 lines
716 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Msinyimane
"Msikatae kulala pamoja wenzi wenu"
# Fanyeni hivyo ili kupata muda wa maombi
Ili mpate muda maalumu wa maombi.
# Fanyeni hivyo
""Jikabidhi ninyi wenyewe"
# kurudiana tena pamoja
"Lala pamoja tena"
# Kwa sababu ya kukosa kujitawala wenyewe
tawala- "Kwa sababu baada ya siku, tamaa yako ya zinaa itakuwa ngumu zaidi kuitawala"
# Ninasema vitu hivi kwenu zaidi kama hiari nasio kama amri
Hapa inamaanisha 1) kuoana na kulala pamoja 2) kuacha kulala pamoja kwa muda
# kama mimi
Labda Paulo hakuwahi kuoa au mke wake alifariki.
# Lakini kila mmoja na karama yake kutoka kwa Mungu.Mmoja ana aina hii ya karama, na mwingine karama ile.
Mungu anawawezesha watu kufanya mambo yanayotofautiana.