sw_tn/1co/04/14.md

20 lines
468 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Siandiki vitu hivi kuwaaibisha ninyi, lakini kuwarudi ninyi
Sifanyi kuwaaibisha, lakini kuwathibitisha" au Sijaribu kuwaaibisha, lakini nataka kuwarudi."
# Sahihisha
"thibitisha"au "fanya bora"
# Waalimu makumi elfu
Huu ni ukuzaji wa idadi ya watu wanao waongoza,Kuelezea umuhimu wa wa baba mmoja wa kiroho.
# watoto...baba
Kwa sababu Paulo amewaongoza kwa Kristo,yeye ni kama baba kwa Wakorintho
# sihi
"Kuwatia moyo kwa nguvu" au "Kuthibitisha kwa nguvu"