# Siandiki vitu hivi kuwaaibisha ninyi, lakini kuwarudi ninyi Sifanyi kuwaaibisha, lakini kuwathibitisha" au Sijaribu kuwaaibisha, lakini nataka kuwarudi." # Sahihisha "thibitisha"au "fanya bora" # Waalimu makumi elfu Huu ni ukuzaji wa idadi ya watu wanao waongoza,Kuelezea umuhimu wa wa baba mmoja wa kiroho. # watoto...baba Kwa sababu Paulo amewaongoza kwa Kristo,yeye ni kama baba kwa Wakorintho # sihi "Kuwatia moyo kwa nguvu" au "Kuthibitisha kwa nguvu"